.

.

Saturday, August 22, 2009

mwanamitindo mwenye skendo lukuki

PARIS HILTON:

Mwanamitindo mwenye

skendo lukuk


Huyu ndiye Paris Hilton, alizaliwa

Februari 17, 1981 huko New York,

Marekani. Paris anatarajiwa kumiliki

Dola Milioni 50 kutoka kwenye mali

za Hilton, ambazo zinakadiriwa

kufi kia Dola Bilioni 1 akiwa kama

mrithi wa kike.

ALIWAHI KUINGIA KATIKA MATATIZO YA

KISHERIA:

Mei 2007, mrithi huyo alihukumiwa kwenda jela siku

45 kwa kosa la kukiuka sheria alipokuwa katika kipindi

cha uchunguzi. Kosa lililomsababishia kuhukumiwa ni

tukio dogo lililotokea Septemba ambapo Jaji aliamua

kumnyang’anya leseni ya gari.

Baada ya kunyang’anywa leseni hiyo, Paris aliamua

kuendesha gari kwa jeuri na kupatikana na hatia ya

kuendesha gari bila ya kuwa na leseni.

MAWAZO YAKE BINAFSI:

“Watu wanadhani mimi sina akili. Lakini niko

‘smati’ kuliko wanavyodhania.”

MAISHA YAKE YA MAPENZI:

Mwaka 2004, mpenzi wake wa zamani, Rick

Salomon alitoa DVD ya picha zao za uchi ambazo

zilisambaa duniani kote na kuuzwa kama DVD za

kawaida .

Hali hiyo ilimkera sana Paris, akaamua

kumfungulia kesi mpenzi wake huyo na kufanikiwa

kulipwa pesa nyingi ambazo alizitumia kutoa

msaada kwa watu wasiojiweza.

Ahadi za ndoa zilizovunjika:

Mwaka 2002 alivalishwa pete ya uchumba na

mwanamitindo wa Kampuni ya Tommy Hilfi ger,

Jason Shaw, lakini kwa bahati mbaya hakuweza

kuolewa.

Mwingine aliyemvalisha pete ni dereva wa meli wa

Kigiriki ambaye jina lake halikuwekwa wazi na kisha

akakimbia. Huo ulikuwa mwaka 2005.

Aidha, aliliripotiwa kuchumbiwa na Stavros

Niarchos, (20) ambaye pia alikuwa akimtokea Mary-

Kate Olsen, lakini naye walivunja mkataba.

PIA NI MTUNZI WA VITABU:

Amewahi kutunga kitabu mwaka 2004, kimoja wapo

kikiwa ni ‘Confessions of an Heiress’ akiwa amewapa

wasomaji mbinu za kuishi kama anavyoishi yeye. Wakati

watu wanamcheka pamoja na nguvu zake, alifanikiwa

kutoa kicheko kikubwa pale kitabu chake kilipofanikiwa

kuingia katika orodha kubwa ya vitabu vilivyouzika

New York (New York Times Bestseller list).

KASHFA ZAKE:

Paris ni Mwanamitindo mwenye kashfa lukuki, japo

mwenyewe amekuwa akijiteteta kwa kusema kuwa,

watu wanavyomchukulia sivyo alivyo.

Baadhi ya kashfa alizonazo ni pamoja na usagaji ambao

amekuwa akidaiwa kufanya kwa muda mrefu kama

alivyosemekana amewahi kusagana na mwanamuziki

mwenzake, Britney Spears.

Kashfa nyingine ni kama ifuatavyo:

Baada ya kukaa maisha ya kipekee yeye na Nicole

Richie mwaka 2005 waliamua kuvunja urafi ki wao

baada ya Nikole kisikia kuwa, Paris ameombwa

kuendesha kipindi cha Jumapili cha ‘Saturday Night

Live Solo,’ Nikole alikasirika pale kwa bahati mbaya

walipoonesha maisha yake ya nyumbani na mkanda

wa picha za uchi wa Paris ulipoonekana hewani kwa

watazamaji wa kipindi kile.

August 2006, Paris na Stavros walirudiana. Ilikuwa ni

kashfa kwake kwasababu waliachana kwa mbwembwe

na kupelekana mahakamani kisha kulipana fi dia.

August 2006, Paris alijiapiza kutofanya mapenzi kwa

muda wa mwaka mmoja kitendo ambacho kilitafsiriwa

na wengi kuwa, hakiwezekani kwani mwaka huo huo

Septemba, Paris alitembea na Travis Barker.

October 2006, Nick Carter alimsingizia Paris kutumia

dawa za kulevya kitendo kilichozidi kuharibu sifa yake

na kumuweka katika kashfa kubwa.

Kashfa nyingine ni ya hivi karibuni, Paris na mpenzi

wake walipoalikwa na mume wa mwanamuziki Hilton

John na kuwazuia watu kuingia chooni kwa ajili ya wao

kustarehe.

Pati hiyo ilikuwa ikifanyika kwenye Boti ambapo

Paris na mumewe walikuwa wakifuatana kila kona na

kuingia chooni ambapo walishindwa kumudu hisia zao

na kujikuta wakiamua kufanya mapenzi huko.



No comments:

Post a Comment