.

.

Sunday, March 21, 2010

Mungu ailaze mahari pema peponi roho ya mpendwa baba yetu Hassan a.k.a Mnyonge

Watoto wa marehemu wakiwa na huzuni

maskini bamdogo.huyu anamfata marehemu mgongoni alikuwa na uzuni kama tunavyomuona




Dada wa marehemu baada ya kuzika anaitwa Hamida



watoto wa marehemu Faraji na Kheri wakiwa na huzuni baada ya kutoka kuzika













watoto wa marehemu Sister doi na Emily Hassan


















Hapa ndipo marehemu alipozikwa ..kheri mwanaye akitoka kaburini kuweka sawa mwili wa marehemu



































Emil naye aliingia kuuweka sawa mwili wamarehemu baba yake











































































































































































































































































































































































































































































































































Hivi ndivyo marehemu Hassan a.k.a Mnyonge alivyozikwa na mamia ya watu ningependa kuweka picha nyingi lakini muda haukuruhusu ninaimani nitapost siku nyingine mungu akipenda.













Msiba wa marehemu baba ulikuwa hivi

Watu wengi walifika ili kumzuka wakiwemo mashehe na watu mbalimbali.