Mungu ailaze mahari pema peponi roho ya mpendwa baba yetu Hassan a.k.a Mnyonge
Watoto wa marehemu wakiwa na huzuni
maskini bamdogo.huyu anamfata marehemu mgongoni alikuwa na uzuni kama tunavyomuona
Dada wa marehemu baada ya kuzika anaitwa Hamida
watoto wa marehemu Faraji na Kheri wakiwa na huzuni baada ya kutoka kuzika
watoto wa marehemu Sister doi na Emily Hassan
Hapa ndipo marehemu alipozikwa ..kheri mwanaye akitoka kaburini kuweka sawa mwili wa marehemu
Emil naye aliingia kuuweka sawa mwili wamarehemu baba yake
Hivi ndivyo marehemu Hassan a.k.a Mnyonge alivyozikwa na mamia ya watu ningependa kuweka picha nyingi lakini muda haukuruhusu ninaimani nitapost siku nyingine mungu akipenda.
No comments:
Post a Comment