.

.

Saturday, March 20, 2010

Birthday ya majonzi ilikuwa february 10

Hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwangu wafanyakazi wenzangu marafiki zangu walinifanyia bonge la saprize lakini kwa bahati mbaya siku hiyo nilikuwa nimepata habari mbaya kwani baba yangu alikuwa amezidiwa sana. Baada ya siku hiyo alikaa kwa muda wa siku sita na kuaga dunia nchini India ambako alikwenda kutibiwa namuombea kwa mungu amfutie dhambi zake na amlaze pema peponi AMINA..

Hapa nikimlisha keki pacha wangu Hamidu ambaye tulizaliwa siku moja mungu ampe umri mrefu amina


Hapa ndipo nilikuwa nikiwalisha keki wafanyakazi wenzangu ambao niliamini wananipenda na kuniheshimu hakika nawaheshimu na kuwapenda pia...mungu atupe subra kwa kila jambo ili tufike mbali
















Kisaprize kilikuwa kabambe hakika tuliinjoy ingawa nilikuwa na majonzi.

No comments:

Post a Comment