
Baby shower ilipoanza tuliandaa maakuli kama kawa na kujiachia kila mtu na msosi wake chakula kilikuwa na mvuto thanks to kamati ya maandalizi

Hapa Lulu na kyalaa wakijisevia msosi

ma 'mc' wao waliamua kujilia hapo hapo mezani kwenye maakuli, ni Ant Ezekiel na Maya

Shamimu amenogewa na mnofu wa kuku kama mnavyomuona

Kumbe na Neema Chande naye alinogewa na nyama si mnamuona

Si akaona kamera akaamua kujificha huku cheko ikiwa imemkaba

Sister Doi mwenyewe nilimshtukia mpiga picha nikaweka pozi kidogo

Nice Chande naye alikuwa akipata mlo,nyama inapendwa jamani si mnamuona alivyoanza kukakata kila mtu anajua ni nyama

Hapa ndo tupo katika foleni ya maakuli

Mama kijacho Bi Imelda Mtema naye akipata msosi,hii shughuri ilikuwa ni ya kwake,

Sasa ni zamu ya pozi tukijiandaa kutoa zawadi

Shamsa Fody naye alikuwepo akipata msosi kama kawa

Mama kijacho akipimwa tumbo asijifungulie ukumbini

Tukijiandaa kwa shughuri kwani baada ya msosi kilichofuata ni zawadi na muziki

Mary na Mariam nao wakijisubiria 'Mc' atangaze kinachofuata
No comments:
Post a Comment