
haridi naye alikuwepo aliyeshika simu yeye na mlo mbalimbali ndio maana kimbaula

Ona sasa kaka Musa kaweka na pozi kabisa na miwani si utowe kaka mlo huo

Kaka musa naye kwa msosi?

Dada Esta akijiandaa kutupatia maakuli

Dada zangu wapendwa Jose,Jovina na Jovita asanteni kwa ushirikiano wenu

Mtoto wangi Salma aliyeshika taka na Naa mdogo wangu mwenye nguo ya njano

wadogo zangu Lilu na Hasina wakipata mlo

Dada yangu mgeni kwa kupenda jikoni, lakini alituwezesha mungu ampe maisha marefu amina

hapa sister doi mwenyewe nikitoa huduma ya chakula

hapa nikiwa na dada yangu Esta mungu akubariki uendelee na moyo huo huo,mgeni alikatwa kiduchu zamu yake ilikuwa bado,hapo chini utamuona

Hapa napo nikiwa na dada yangu mgeni na rafiki yake kipenzi Esta na jirani yangu kaka yangu baba Abdul nashukuru sana yeye na mkwewe kwa kunipa moyo pamoja na familia nzima




Hawa ndio ndugu Jamaa na marafiki waliofika kwenye arobaini ya mpendwa baba yangu nawashukuru wote kuitika wito, kwa kufika nyumbani kwangu wakati mimi ni mdogo kwao,hakika walimuheshimu mpendwa baba nawashukuru sana.
No comments:
Post a Comment