





























hapa ni homu kwangu na wadogo zangu siku hiyo ilikuwa ni picha day tukijaribu kusahaurishana machungu huku tukimuombea mpendwa baba yetu tukapiga picha mbalimbali na wadogo zangu.
ilikuwa ni 4 funny hivi wao wakinielekeza mapozi lakini mi si kiivyo hizi ni fani za watu bwana.
kucheka unaruhusiwa karibu sana
No comments:
Post a Comment