.

.

Thursday, August 12, 2010

tunaendelea kujidai

Baada ya kurudi home mwanangu huwa ananikimbilia kuni hugh kama hivi siku hiyo nilijisikia kumpiga picha

1 comment:

  1. Hi

    Hamida hongera sana baby wako mzuri kama jina lake.

    by Nelia

    ReplyDelete