.
Saturday, June 19, 2010
LILY WA MAMBO HAYO ALIPOMFANYIA MWANAYE SHEREHE YA KUZALIWA
Sister Doi nikilishwa keki ilikuwa tamu kinoma
Hapa akikata keki
Hapa Rahimu anamlisha mama yake keki
Mama anamshukuru kwa kumpa busu zito
Keki hii ilikuwa tamu kwani nami niliionja
Hapa wakiwa katika pozi la furaha
Thursday, June 17, 2010
Dont mess with an Angle inavyoendelea
Jumatatu..
Mayita Juan anaendelea kumlalamikia Miguel kuwa alitaka kumuua mama yake.
Sehemu ya 36:
Mayita anamlalamikia Juan Miguel kuwa alitaka kumuua mama yake, maneno madogo ambayo Viviana alimjaza, Miguel anamwambia kuwa sio ukweli kwasababu mama yake kwa sasa yuko mbinguni, Mayita hakubariani na baba yake anasisitiza kuwa mama yake hivi karibuni atarudi nyumbani kwao. Juan Miguel anakiri kwa Vicente kwamba yeye ndio alitaka kuvunja penzi lake kwasababu ya ajari aliyoisababisha kwa dada yake ambaye aliumia sana usoni, Vicent anapata mshtuko anaposikia. Marichoy anapewa karatasi za kuandaa talaka yake, na mtu anayemshawishi kufanya hivyo ni Adrian. Rocio anakuwa amelala usingizi, Vicente anagundua kilichotokea usoni kwa mpenzi wake, Racio anapoamka na kumkuta Vicente anamuomba aondoke kwani hakutaka amuone, Vicente anamwambia Racio kwamba wala hajali na kujitolea kumsaidia.
Jumanne
Sehemu ya 37:
Candelaria anapata maumivu makali na kuzimia.
Candelaria anahisi maumivu makali, anajaribu kupuuza lakini mwisho wa siku anazimia, watu wanakuja kumsaidia. Stephanie anamrubuni Juan Miguel, anamwambia kuwa atamsaidia kurudisha penzi la Mayita iwapo atamuoa yeye.
Viviana anaendelea kutalii nyumbani kwa San Román, ambaye ametoka na Stephanie anayepoteza muda waki akidhani atampata Juan Miguel,wakati anaye wa kwake.
Candelaria anawasiliana na Vencindad, anamwambia kuwa alisikia kizunguzungu na kuzimia,Marichuy akiwa na wasiwasi anafanikiwa kumsaidia 'Candida'.
Marichuy anakwenda kumtenbelea Vicente na Rocio huko Hospitali,akajaribu kwenda kitandani kwake lakini rafiki yake anamzuia, akajikuta anagundua kuwa ana kizunguzungu.
Jumatano - Juan Miguel na Marichuy wanajadiriana huko Hospitali. Juan Miguel, Rocio na Marichuy wanakutana Hospital, Miguel anamuomba Marichuy akubari pesa anazompatia, akakataa na kumwambia kuwa walioana kwa usiku mmoja tu. Juan Miguel hakubariana naye anamwambia kuwa anataka kumsaidia. Marichuy anamwambia amuache aondoke, akasema kuwa atarudia kumuoa mara nyingi zaidi hata iwe mara elfu moja na kumwambia kuwa wao wako kwenye mapenzi, akawa anamuinamia akitaka kumbusu mpaka pale Cecilia alipofika na kuvuja maongezi yao. Marichuy anaondoka wodini Juan Miguel anamfuata, akamlalamikia kuwa kwanini hakumwambia Candelaria yuko hospitali hiyo hiyo, akajibu kuwa hakuhitaji kutoa ufafanuzi na kumuhakikishia kuwa hataki pesa yake, bila kutarajia Marichuy anaanguka mikononi mwa Juan Miguel. Candelaria anamuuliza Marichuy anajisikiaje?, anasema kuwa anasikia kizunguzungu na kukosa nguvu, Candelaria anamjibu kuwa mara nyingi hali hiyo huwa inamtokea mwanamke mjamzito Marichuy anashtuka baada ya kusikia vile.
Juan Miguel anapandishwa kizimbani kwa kesi ya kumbaka Marichuy!
Leo tunamuona Juan Miguel ametinga kizimbani baada ya kushtakiwa na Marichuy. Marichuy anafika mahakamani kutoa ushahidi wa kubakwa na jinsi alivyougulia maumivu ya kitendo hicho kwa miaka kadhaa, Mr. del Villar anamuuliza swali na kutaka kujua ni kitu gani kilitokea, akisisitiza kujua kama kweli Juan Miguel alimvamia, Marichuy anajibu kuwa mtu aliyembaka si mrefu na mwenye nguvu. Baada ya majibu hayo Juan Miguel anaondoka eneo la mahakama akiwa na mawakiri wawili, akiwa na wasiwasi wa kuanguka kutokana na mawazo kuwa kama atapotea hatokaa ataonekana mwenye hatia hatokaa akasamehewa na Mayita waka Marichuy.
Ijumaa: Amador anamwambia Marichuy kwamba atamfanya awe maarufu.
Mahakama inampatia uhuru Juan Miguel, hivyo anaweza kukaa na Mayita pia ikaifunga kesi kitendo ambacho kilimpatia furaha Dr. San Román. Leticia anamwambia Viviana kuwa mume wake anaye mwanamke mwingine,Viviana akajikuta anastushwa na habari hizo. Amador anamwambia Marichuy kuwa yeye ni almasi chafu lakini yeye atahakikisha anamsafisha, Marichuy anachukia baada ya kuambiwa hivyo lakini akamwambia kuwa baadae atakuja kuwa wa kimataifa zaidi. Onelia anataka kumchukua Mayita akamlee lakini Juan Miguel anamwambia kuwa mtoto wake haendi popote, kitendo hicho kinamkera Onelia ambaye anaamua kumpiga kibao Miguuel.Je nini kitaendelea usikose wiki ijayo.
Saturday, June 12, 2010
Marichuy anagundua mchezo mchafu anaofanyiwa na Stefano.
Alhamis
Marichuy anagundua mchezo mchafu anaofanyiwa na Stefano. Stephanie anamkuta Marichuy ndani ya dimwi la kuogelea. Stephanie anachukizwa na muonekano wa Marichuy. Marichuy, anashangaa ni kwanini Stephanie anamfanyia vitimbi na kumuuliza, anajibu kwamba hawezi kuwa na msimamo hata hivyo. Patrick, Cecilia na Isabella wako na Marichuy pembeni. Patricio anamlazimisha Marichuy kumwambia cheni ya Stephanie iko wapi, hakujua nini aliongea. Patricio anamwambia Marichuy kuwa ni muongo, na kusisitiza kuwa ameiba cheni
Huko kanisani, Edward anakuwa na hasira kwasababu msichana wake hajaficha. Francisco anafika kanisani na kumwambia Juan Miguel kuwa hakutakuwa na harusi kwasababu ya Elsa. Elsa anafika kwa Nelson akiwa na nguo ya harusi, hakuwa amejifunika wala kuwa na
Icheki Tamthilia hii kupitia Sisterdoi.blogspot.com
Ijumaa July 11, 2008 - Juan Miguel anamwambia Patricio kwamba ataondoka na Marichuy nyumbani kwake.
"Sebureni kwa Velarde Juan Miguel, Patricio, Cecilia na Stephanie wanakutana. Patricio anawaambia kuwa Marichuy ana mambo mawili anatakiwa kuchagua kuondoka nyumbani kwake na kwenda mtaani au kwenda jela. Juan Miguel anamwambia Patricio kwamba Marichuy ataondoka naye, Stephanie kusikia hivyo anapandwa na hasira. Juan Miguel anakwenda nyumba ni kwake na Marichuy. Onelia anamwambia Juan Miguel kwamba hawezi kukaa chini ya paa moja na Marichuy Miguel akajibu kwamba yeye ndo ameshaamua hivyo atake asitake Marichuy atakaa ndani ya nyumba hiyo.
Baada ya kutulia ndani ya nyumba ya Miguel kwa muda wa dakika tano, Marichuy, Vicente, Rocio, Amador, Vicente, Becky, Elsa na Nelson wanakutana kwenye paty ambako Marichory na Rocio wamekwenda kwa kutoroka. Rocio anacheza na Vincent na kujifunza kuvuta sigara, ambaye anasema kuwa amependa na anataka kuwa mshirika. Becky anafungua mlango na kumkuta Juan Miguel ambaye anaingia kwenye party, anamkuta Eloy na Marichuy wakicheza muziki huku Rocio akibusiana na Vicente. Juan Miguel anamvuta Marichuy na Rocio na kuondoka nao. Amador anapomuona Miguel anamsema vibaya kuwa ameingia kumchukua Marichuy.
Kwenye bustani ya nyumbani Juan Miguel anakutana na Marichuy wanakaa kwenye kibaraza cha ghorofani wakiangalia mawingu, Marichuy anashindwa kuzuia hasira zake. Juan Miguel anamsogelea na kumzuia kuangalia juu akajaribu kuongea naye. Juan Miguel anamwambia Marichuy kuwa anajisikia vibaya file alivyomfanyia. Marichuy anamwambia Juan Miguel kuwa anampenda,Miguel akamuangalia kwenye midomo yake,jinsi ilivyogawanyika. Juan Miguel na Marichuy wakabusiana.
Je itakuwaje endelea….
Jumatatu July 14, 2008 - Juan Miguel anamwambia Marichuy kwamba mchungaji amwemwambia amuelezee juu ya ndoto yake. Marichuy alipoambiwa hivyo akakaa mbali na Juan Miguel na kumuangalia
Tuesday July 15, 2008 - Marichuy anakumbuka maisha yake ya zamani. Juan Miguel anaongea na Marichuy ofisini kwake. Marichuy anamwambia Juan Miguel kilichotokea, akamwambia kuwa yeye sisi mjinga, mara mlango ukafunguliwa na Eduardo. Baada ya Marichuy kwenda nyumbani Juan Miguel akamwambia Eduardo kuwa alidhani Marichuy atamwambia kitu chochote. Marichuy. Juan Miguel anaongea na mchungaji Anselmo. Mchungaji anamwambia Miguel kwamba anajua kwa sasa majuto yake yanakuwa makubwa kwasababu anampenda Marichuy. Juan Miguel na Marichuy wanachati wakiwa kitandani, Miguel anamwambia kuwa hawezi kumchukia, lakini akasisitiza kwamba watafanya jambo pale atakapomwambia kosa liko wapi, hakutaka kumuangalia machoni, hata hivyo Eduardo hakarudi. Juan Miguel akamchukua Marichuy na kumuweka karibu na kukiri kwamba anampenda
Jumatano :July 16, 2008
Juan Miguel anamwambia Marichuy hampendi Steff, anampenda yeye. Onelia na Juan Miguel wanakunywa chai,Onelia anakuwa anamuongelea vibaya Marichuy na tabia zake.
Juan Miguel anamwambia Onelia kuwa yeye hamtetei mtu wa mtaani tu bali anamuhifadhi mtu ambaye ni muhimu
Juan Miguel anamuomba Onelia amuheshimu Marichuy kwasababu anataka kumuoa. Onelia anampigia simu Estefania na kumwambia kuwa Juan Miguel ana mpango wa kumuoa Marichuy.
Marichuy anamuelezea
***
Alhamis.
Miguel na Marichuy wanaamua kuishi kwenye nyumba moja huku mama mkwe wa Miguel, Onelia anaweka kipingamizi lakini watu hawa wanamua kulazimisha na kuishi je watavumilia hisia zao? Endele kusoma Tamthilia hii ya kusisimua.
Baada ya Juan Miguel kumwambia Patricio kwamba hawezi kumuoa mtoto wake kwasababu hampendi Marichuy, Stephanie anasema, anatishia kwa kusema kuwa kati ya Juan Miguel au Marichuy mmoja atakuwa na furaha na mwingine atakuwa na machungu. Rocio na Vicente wanakaa kwenye kibaraza ‘balcony’ wakiangalia jiji.
Rocio anamwambia Vicente kwamba hajawahi kukaa pale na amevutiwa
Usikose wiki ijayo itaendelea….
Ijumaa July 18, 2008 - Juan Miguel anamwambia Eduardo kwamba hatosema ukweli kwa Marichuy.
Sehemu 30:
Juan Miguel anamwambia Eduardo kwamba ni bora asiseme ukweli kwa Marichuy kwasababu hatokubali amuoe, Edward akajaribu kumshawishi aseme ili asionekane ameanza ndoa na uongo. Rocio na Vicente wanapanda kwenye gari wakiwa wanaenda safari
Onelia anakwenda ofisini kwa Juan Miguel na kutishia kwenda mahakamani kuwafungulia mashtaka Mayita na
Marichuy. Hata hivyo baada ya kuona hana njia anaamua kumshawishi Mayita akamshtaki baba yake kwa kile alichokifanya. Marichuy anapokea simu, anagundua kuwa Dew amepata ajali. Onelia anasikia Marichuy akimwambia Juan Miguel hata akimuoa Mayita ataendelea kuwa mtoto wake na atakuwa
Monday July 21, 2008 - Rocío anaamka akiwa amelewa anashangaa kuona uso wake wote umezungukwa na bandeji.
Summary Chapter 31:
Rocío anaambiwa kuwa yuko hospitali, Edward anakuwa naye akimuangalia, Juan Miguel anaingia na kuuliza anaendeleaje. Rocío anafungua macho yake na kumuangalia Juan Miguel, akaweka mkono wake usoni na kushika uso wake akajikuta akilia
Jumanne July 22, 2008 –
Kwa jina la mungu, mchungaji Anselmo anawatangaza Juan Miguel na Marichuy kuwa mke na mume.
Summary of Chapter 32:
Mchungaji Anselmo, Juan Miguel, na Marichuy wanasubiri kwenye madhabau, Esther na
Jumatano
Marichuy anamwambia Juan Miguel ni bora hasingesema ukweli. Juan Miguel na Marichuy wanabembelezana ufukweni, Miguel anamuuliza
Marichuy anamwambia Juan Miguel hatokaa akamsamehe. Marichuy anaanza kukimbia tena huko bichi, hata hivyo anajikuta amekosa nguvu na kuanguka mchangani ambapo anazimia, Juan Miguel anamfata. Marichuy anakwenda kujificha kwenye mapokezi ya hoteli iliyoko jirani, Juan Miguel anaamua kuingia hotelini ndani. Anasikia akiambiwa asubiri wakati akisubiri kufunguliwa, Marichuy anatoka nje na kujificha kwenye lango la kutokea.
Eduardo akiwa ofisini anamtembelea mgonjwa, anaaga kisha anaingia Stephanie akiwa amevaa vizuri. Marichuy anakuwa jirani akiongea na Candelaria, ambaye alikwenda kumuuliza kuhusiana na Juan Miguel akamjibu huku akifuta machozi.
San Román akiwa nyumbani, simu yake inaita na kupokelewa na Onelia,ambaye anasema kuwa hakuna majibu akihisi kuwa aliyepiga ni Viviana. Juan Miguel anakuwa kwenye mgahawa anaongea na Eduardo ambaye anampatia ufunguo wa nyumbani kwake kwasababu anasema kuwa hatohuhitaji, akamwambia kuwa Marichuy amemtenga baada ya kumwambia ukweli.
Hospitalini kunakuwa na watu wengi wa kutoka familia mbalimbali ambao wanasikia sauti ya Rocio akilia na kuogopa baada ya kustuka usingizini.
Alhamis
Juan Miguel, anaumia
Sehemu ya 34:
Juan Miguel, anaumia
Elsa, na Beatriz haraka
Marichuy anaamua kutoka nje, Juan Miguel anajaribu kumzuia, lakini mchungaji Anselmo anauzuia mkono wake. Marichoy akawa anamuangalia Miguel kwa chuki na hasira kisha akaondoka.
Ijumaa 25, 2008 –
Viviana anamwambia Mayita kwamba baba yake alijaribu kumuua.
Marichuy anakimbia akiwa amemkasirikia Juan Miguel anaamua kwenda kwa majirani, Miguel anakuwa na wasiwasi na ambaye amechanganyikiwa hataki mke wake aondoke bila kumsamehe, lakini kwa jinsi alivyomfanyia anaamua kuondoka eneo