Hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwangu wafanyakazi wenzangu marafiki zangu walinifanyia bonge la saprize lakini kwa bahati mbaya siku hiyo nilikuwa nimepata habari mbaya kwani baba yangu alikuwa amezidiwa sana. Baada ya siku hiyo alikaa kwa muda wa siku sita na kuaga dunia nchini India ambako alikwenda kutibiwa namuombea kwa mungu amfutie dhambi zake na amlaze pema peponi AMINA.. Hapa nikimlisha keki pacha wangu Hamidu ambaye tulizaliwa siku moja mungu ampe umri mrefu amina Hapa ndipo nilikuwa nikiwalisha keki wafanyakazi wenzangu ambao niliamini wananipenda na kuniheshimu hakika nawaheshimu na kuwapenda pia...mungu atupe subra kwa kila jambo ili tufike mbali Kisaprize kilikuwa kabambe hakika tuliinjoy ingawa nilikuwa na majonzi.
Kwa Tanzania tumekuwa tukishangazwa na kulalamikia matendo wafanyayo mabaamedi kwa wenzetu wazungu haya ndio mambo yao mabaamedi hapa akisubiri wateja kama tunavyoona, na picha ya juu akihesabu pesa Hapa anasubiri wateja wake na kifua ndio tray yake ya kubebea pombe
Unaweza kuhisi ni utani lakini ukweli ndo huu kobe mvuta sigara apatikana pande za China.
Saturday, December 26, 2009
hii ilikuwa kali kuliko zote Rihanna aliamua kujiachia Jennifer Hudson na mimba ya pili.. Shukrani kwa mbunifu wa kurasa hizi Mery Raphael nampa Big Up
Hapa Rihanna alipata aibu baada ya kuvaa kimini Latifah alipozindua manukato yake Kanye West alipotembelea Paris kwa ajili ya kufanya manunuzi fulani Jay z alipofanyiwa sherehe ya kuzaliwa na mkewe
Shangazi naye akijiandaa kupokea keki ya mumewe Ali Shangazi akijiandaa kumlisha mumewe Ali Keki Hapa wako Tayari kukata Keki na kulishana Wakijiandaa kukata Keki Wakirudi ukumbini baada ya kubadiri nguo,hakika walipendeza Janath na mumewe wakienda kubadiri nguo kwa ajiri ya kuja kusherehekea na ndugu na jamaa
Shangazi akijiandaa kuwatamburisha ndugu zake kwa mumewe Shangazi Janath ndani ya vazi la shera na mumewe Ali Hassan naye kaka yake alikuwa miongoni mwa wapambe wa sister doi kwa siku hiyo Sister Doi na mdogo wake Faraji aliyekuwa akimpa kampani huko harusini Sister Doi tayari kwa kwenda harusini
Dada yake karashan, Mgeni Hassan akifungua shampagne kwa furaha kama zawadi ya kwanza kwa kaka yake Mtoto wake Karashani Evon a.k.a Furaha akifurahia harusi ya mjomba wake Dada yake Karashani Achi akiwa na mumewe Faridi ndani ya sherehe hiyo Karashani baada ya kupewa majukumu na kaka yake Emili, mkewe Debora alimshangilia kwa furaha na kupiga makofi