.

.

Saturday, October 24, 2009

Mambo ya mapumziko Kunduchi Beach

Christopher Lisa akicheza muziki kwenye bomba mvua
Kaka Luqman katika pozi kunduchi beach
Sister Doi akipata msosi na marafiki, wafanyakazi wenzake beach
Sister Doi na marafiki zake Shamimu na Imelda Mtema wakiteta jambo
Crue ya Global Publisher wakibadirishana mawazo

Siku Baby Mzuri alipotimiza mwaka mmoja









Nilifurahi kula keki ya kwanza ya Baby wangu nikisherehekea na ndugu zangu,hakika ilipendeza

Saturday, October 17, 2009

Hapa Hoyce akionesha kitabu chake pamoja na mheshimiwa mama Margaret Sitta ambaye alikuwa ni mgeni rasmi kwa siku hiyo.

Hoyce azindua kitabu cha maisha yake


Miss Tanzania 1999 Hoyce temu akielezea machache yaliyomo ndani ya kitabu chake, picha zaidi zinafuta.

Sister Doi na marafiki zake!


Siku ya Nyerere Day Sister Doi naye hakuwa nyuma aliisherehekea na marafiki zake

Thursday, October 8, 2009

peji ya maajabu inaendelea kama kawa


Wadau ni page ya maajabu ambayo inatoka kila wiki kwenye Gazeti la Ijumaa wikienda usikose kufatilia,kama wewe unapenda kucheka na kushangaa maajabu yaliyoko kwenye Dunia kwani mbali na kuchekesha inaburudisha.

Saturday, October 3, 2009

Hiki ndio chumba chako!


Siku moja asubuhi kabla haujaenda kazini unaamua kuingia kwenye stoo yako unapigwa butwaa baada ya kukuta mabunda ya pesa kama picha hii inavyoonesha.
ukiwa mwenye furaha unaenda kazini na kumfahamisha bosi wako kuwa unaamua kuacha kazi kwasababu kuna kitu umeona kwenye stoo yako,kwasababu alikuwa akikutegemea kwa ufanisi wako kazini anakuomba uendelee na kazi.je utakubali?

Dawa ya wambeya!



Ukikaa kwenye compyuta unafanya mambo yako utaona wengine wanakalibia bila kuitwa,wengine huwa wanafata kazi lakini wengine huwa wanaangalia Password ya mtu sasa basi dawa yao ni kama ifuatavyo

Dawa ya mtoto mtukutu




Wazungu amnazo kweli wamewatengenezea watoto mikanda kama mbwa.
Watoto nao wamezidi kutotulia hii ndio dawa yao hasa wale watukutu.

Black beauty of the year 2009!





chagua moja huenda ukawa nalo mwakani!

Mapenzi ya mbwa kwa mtoto wa bosi wake





Imajine ndo mtoto wako umemkuta mikononi mwa mbwa kama hivyo utafanya nini?

Thursday, October 1, 2009

DONDOO NYINGINE ZA TIBA ASILIA NI KAMA ZIFUATAZO






Juice ya nyanya:
Juisi ya nyanya ukichanganya na chumvi kidogo pamoja na pili pili ni dawa homa ya manjano ‘Jaundice’ inafaa kunywewa asubuhi kabla ya kifungua kinywa.

Tunda la Mzaituni:
Mafuta ya mzaituni ni dawa kwa ajiri ya kuondoa vipele vya joto unapaka lile eneo lililoathilika. Pia ukipakaa ngano eneo lililoathirika na vipele vya jasho inatibu.

Zabibu kavu:
Ukila zabibu kavu kwa wingi ni tiba kwa wale wanaotaka kuongeza uzito wa mwili.

Kiazi mbatata:
Kiazi mbatata ni tiba kwa mabaka au madoa doa yanayokuwa kwenye mwili hasa usoni unakata kipande chembamba na kukiweka sehemu iliyoathirika.

Ndizi mbivu:
Ndizi mbivu ni nzuri kwa kutibu madonda ya tumbo.