.

.

Sunday, March 21, 2010

Saturday, March 20, 2010

Birthday ya majonzi ilikuwa february 10

Hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwangu wafanyakazi wenzangu marafiki zangu walinifanyia bonge la saprize lakini kwa bahati mbaya siku hiyo nilikuwa nimepata habari mbaya kwani baba yangu alikuwa amezidiwa sana. Baada ya siku hiyo alikaa kwa muda wa siku sita na kuaga dunia nchini India ambako alikwenda kutibiwa namuombea kwa mungu amfutie dhambi zake na amlaze pema peponi AMINA..

Hapa nikimlisha keki pacha wangu Hamidu ambaye tulizaliwa siku moja mungu ampe umri mrefu amina


Hapa ndipo nilikuwa nikiwalisha keki wafanyakazi wenzangu ambao niliamini wananipenda na kuniheshimu hakika nawaheshimu na kuwapenda pia...mungu atupe subra kwa kila jambo ili tufike mbali
















Kisaprize kilikuwa kabambe hakika tuliinjoy ingawa nilikuwa na majonzi.

Thursday, February 4, 2010

Mambo ya bich wikiend

Sister Doi alipojiachia ufukweni na Rafiki yake Jacline Patrick ufukwe wa South sun wikiend iliyopita

Tuesday, January 26, 2010

Baamedi wakiwa kazini

Kwa Tanzania tumekuwa tukishangazwa na kulalamikia matendo wafanyayo mabaamedi kwa wenzetu wazungu haya ndio mambo yao mabaamedi
hapa akisubiri wateja kama tunavyoona, na picha ya juu akihesabu pesa

Hapa anasubiri wateja wake na kifua ndio tray yake ya kubebea pombe