.

.

Sunday, March 21, 2010

Saturday, March 20, 2010

Birthday ya majonzi ilikuwa february 10

Hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwangu wafanyakazi wenzangu marafiki zangu walinifanyia bonge la saprize lakini kwa bahati mbaya siku hiyo nilikuwa nimepata habari mbaya kwani baba yangu alikuwa amezidiwa sana. Baada ya siku hiyo alikaa kwa muda wa siku sita na kuaga dunia nchini India ambako alikwenda kutibiwa namuombea kwa mungu amfutie dhambi zake na amlaze pema peponi AMINA..

Hapa nikimlisha keki pacha wangu Hamidu ambaye tulizaliwa siku moja mungu ampe umri mrefu amina


Hapa ndipo nilikuwa nikiwalisha keki wafanyakazi wenzangu ambao niliamini wananipenda na kuniheshimu hakika nawaheshimu na kuwapenda pia...mungu atupe subra kwa kila jambo ili tufike mbali
















Kisaprize kilikuwa kabambe hakika tuliinjoy ingawa nilikuwa na majonzi.

Thursday, February 4, 2010

Mambo ya bich wikiend

Sister Doi alipojiachia ufukweni na Rafiki yake Jacline Patrick ufukwe wa South sun wikiend iliyopita

Tuesday, January 26, 2010

Baamedi wakiwa kazini

Kwa Tanzania tumekuwa tukishangazwa na kulalamikia matendo wafanyayo mabaamedi kwa wenzetu wazungu haya ndio mambo yao mabaamedi
hapa akisubiri wateja kama tunavyoona, na picha ya juu akihesabu pesa

Hapa anasubiri wateja wake na kifua ndio tray yake ya kubebea pombe

Thursday, December 31, 2009

Kobe mvuta sigara apatikana nchini China


Unaweza kuhisi ni utani lakini ukweli ndo huu kobe mvuta sigara apatikana pande za China.

Saturday, December 26, 2009

hii ilikuwa kali kuliko zote Rihanna aliamua kujiachia
Jennifer Hudson na mimba ya pili.. Shukrani kwa mbunifu wa kurasa hizi Mery Raphael nampa Big Up

MIONGONI MWA KURASA ZINAZONIVUTIA

Hapa Rihanna alipata aibu baada ya kuvaa kimini
Latifah alipozindua manukato yake
Kanye West alipotembelea Paris kwa ajili ya kufanya manunuzi fulani
Jay z alipofanyiwa sherehe ya kuzaliwa na mkewe

Tuesday, December 1, 2009

Shangazi Janath alipoolewa na mumewe Ali

Shangazi naye akijiandaa kupokea keki ya mumewe Ali
Shangazi akijiandaa kumlisha mumewe Ali Keki
Hapa wako Tayari kukata Keki na kulishana
Wakijiandaa kukata Keki
Wakirudi ukumbini baada ya kubadiri nguo,hakika walipendeza
Janath na mumewe wakienda kubadiri nguo kwa ajiri ya kuja kusherehekea na ndugu na jamaa
Shangazi akijiandaa kuwatamburisha ndugu zake kwa mumewe
Shangazi Janath ndani ya vazi la shera na mumewe Ali
Hassan naye kaka yake alikuwa miongoni mwa wapambe wa sister doi kwa siku hiyo
Sister Doi na mdogo wake Faraji aliyekuwa akimpa kampani huko harusini

Sister Doi tayari kwa kwenda harusini